Makapuku Forum

Huyu Bishoo anajua sana kazi yake, anafelishwa tu na Mabitozi wenzake huku Tanzania ambao wanawaza tu kuwa na six packs na photoshoot


Mambo ya kusema Mungu hakupi vyote ni dalili tu za kuficha udhaifu wetu
 
MAJOGOO HAOO FAINALI FA
!!
.
FT: MAN CITY 2-3 LIVERPOOL
9’—
️ Konate
17’—
️ Mane
45’—
️ Mane
47’—
️ Grealish
90’—
️ Silva
 
Huyu dogo huwaga anajikalia tu lecture room pale yudizim hafatilii Mpira ila anaongea tu ooh tunanyanyua kwapa


Ila wanaweza kutulipa.. Pep siyo mtu mzuri.
mpira nimeanza kufatilia tangu hujazaliwaa wee,
Uwe na adabu, nenda final kakutane na cheltako.

Tulicheza kukamilisha ratiba tyuuh, hatuna mzuka na FA.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…