Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,282
- 35,652
Nmeuliza ...husna akirud...mama mchungaji je ?
....jamani mimi ndiyo kwanza nimenunua simu juzi, hawa ni kina nani? Mimi mgeni kabisa, na sasa hivi akili na mwili wangu nimemkabidhi kipenzi changu. hela zake zangu, zangu zangu


