Makapuku Forum

Makapuku Forum

Basi mama hili sibadili tena

Naona mlikuwa mnanisagia kunguni we na dada ako mnaua brand mjue

Kuna watu humu wananionaga mtakatifu sana hivyo nimeona nitumie na jina la kitakatifu zaidi ili nitambae na beat lao

Kwahiyo msiniharibie tafadhali

Tuishi Humu [emoji3][emoji3] [emoji2][emoji2]
Watu na Brand zetu buana..
Jitahada zimetumika Mdogo wangu...usikubali mtu akuchafulie kirahisi[emoji2]
 
Back
Top Bottom