Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,166
Eeenh wakina kalumbu ilikuwa inawahusu kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahaa kwamba ndiyo maana ukatutag kina kalumbu [emoji2][emoji2]
Eeenh wakina kalumbu ilikuwa inawahusu kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahaa kwamba ndiyo maana ukatutag kina kalumbu [emoji2][emoji2]
Sanaaaa auntieSemaji anakaa poa[emoji23][emoji23]
Eeenh nikajua I'd mpya ndio nilikuwa naisubiri niione [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukajua Ingizo jipya?[emoji23]
Halafu Mwanasimba kindaki ndaki huyo..hakuna kitu unaweza mwambia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo no.3 sitaku hata kuiona[emoji23]
Morning mchumbaBabe
Morning mchumba angu [emoji8]Morning mchumba
Asantee kwa magazeti mchumba...umeamkaje lakinMorning mchumba angu [emoji8]
Utuletee picha za pochi 🥰🥰[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ilikuwa inahusu kula maparachichi selfika nitakuja nikipiga picha mpya si eti Saint Anne [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Amezeeka siku hiziPTriple H aliingia kwa mara ya mwisho kwenye ring ya WWE na kuaga rasmi, wakati anaondoka akaacha buti zake kuonesha sasa mwisho umefika
Siku chache zilizopita The Undertaker nae alitangaza kustaafu ijapo hivi karibuni kuna teaser zake kuwa atarejea tenaView attachment 2175334
Dogo Unaupiga mwingi sana hapa[emoji23]Amezeeka siku hizi