Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,854
- 183,111
Niambie mkwe wangu wa kikuuAunt wa shuny
Niambie mkwe wangu wa kikuuAunt wa shuny
We na nani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeona...Tumekuza sasa[emoji23][emoji23]
Hovyooo![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukajua Ingizo jipya?[emoji23]
Halafu Mwanasimba kindaki ndaki huyo..hakuna kitu unaweza mwambia
Doh!!!!Hovyooo!
Mwee jamani kwamba ulikuwa utoto [emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeona...Tumekuza sasa[emoji23][emoji23]
Kabisa watu tumejenga hizi brand kwa jasho na damu halafu mtu anakuja anachafua kizembe tu [emoji1787][emoji1787]Watu na Brand zetu buana..
Jitahada zimetumika Mdogo wangu...usikubali mtu akuchafulie kirahisi[emoji2]
Hahaa achana na kitu inaitwa parachichi asee [emoji16][emoji16]Eeenh wakina kalumbu ilikuwa inawahusu kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
He he he ...Hapana...Mwee jamani kwamba ulikuwa utoto [emoji2][emoji2]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dogo Unaupiga mwingi sana hapa[emoji23]
Good Morning...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Shkamoo dada.
Tuendelee kuupiga mwingi kama mama.
We na Espy Eroni wako hamuonekani kwenye majukwaa mengine kumbe mmejificha huku kwa Shunie? Kuna nini kipya huku au Makapuku imefufuka tena? [emoji16][emoji16][emoji15][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Marahaba Mdogo wangu...
Sawa sawa...Na kazi Iendelee..
Ule utakuwa wa kikabila maana Saint Anne nae hayuko mbali.Mwee jamani kwamba ulikuwa utoto [emoji2][emoji2]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]We na Espy Eroni wako hamuonekani kwenye majukwaa mengine kumbe mmejificha huku kwa Shunie? Kuna nini kipya huku au Makapuku imefufuka tena? [emoji16][emoji16][emoji15]
Mwee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ule utakuwa wa kikabila maana Saint Anne nae hayuko mbali.
Huku ni kwa Wazee kama siye SYB[emoji23]We na Espy Eroni wako hamuonekani kwenye majukwaa mengine kumbe mmejificha huku kwa Shunie? Kuna nini kipya huku au Makapuku imefufuka tena? [emoji16][emoji16][emoji15]
Mimi sijambo aisee. Sikuoni kumbe umejificha huku. Uko poa lakini? Na makamanda wangu je? Nyote mbarikiwe [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Huku ni kwa Wazee kama siye SYB[emoji23]
Unaendeleaje huko lakini? Karibu sana..
Ushindweee![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Karibu.
Nipo huku Rafiki...Karibu...Mimi sijambo aisee. Sikuoni kumbe umejificha huku. Uko poa lakini? Na makamanda wangu je? Nyote mbarikiwe [emoji1545][emoji1545][emoji1545]