Makapuku Forum

Makapuku Forum

Nyieeee mnasikia hukuuuu. [emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20220404-132258_Instagram.jpg
 
Magoli yote tume dedicate sehemu husika, goli la mwisho tumeli-dedicate kwa wale wote wanaofuga ng’ombe na mbuzi mjini. Goli la tatu tume-dedicate kwa aliyekuwa Ofisa Habari wetu kwa sababu waliongea mengi.

Kilichowaponza USGN ni zile jezi zao juu [rangi ya njano], tukachukizwa maana tulitaka kuwafunga mbili lakini baada ya kuona zile jezi tukachukizwa zaidi tukaamua kuwapiga nyingi.

- Mwijaku
Screenshot_20220404-132513_Instagram.jpg
 
Shabiki hakutaka kukosa kabisa kumbukumbu, baada ya kugawa jezi basi ikabidi Ivan Rakitic avue na bukta ampe shabiki

Football for the fans
Screenshot_20220404-132617_Instagram.jpg
 
Picha iliyopendwa zaidi.

Mpiga picha kabla hajafariki ngurumo za radi zilitawala,upepo mkali ulivuma,giza likaifunika dunia ya soka na ile picha ya Simba iliyowekwa ukutani ikaanguka juu ya mikono yake. Haya yalitokea kwasababu JAH alikuwa anaichukua roho ya binadamu aliyoipenda kazi yake.

Katika zile nyakati za mwisho mpiga picha akiwa kitandani,akiwa karibu na umauti ilibidi atoe machozi ya furaha kwasababu hana cha kumlipa JAH kwa kumpa kipaji cha kupiga picha na kumpa nafasi ya kuishika camera iliyobeba picha ya mnyama anayechukiwa zaidi jangwani.

Hisia za Mpiga picha huyu ni sawa na hisia za Wapiga picha wote waliokuwepo pale Mkapa Stadium kwasababu na wao walipata nafasi ya kumtukuza JAH,walipata nafasi ya camera zao walau kuipata picha ya mnyama aliyebeba tabasamu nzito la waumini wa pira biriani.

Basi zile ngurumo za radi,ule upepo mkali na lile giza na ile picha ya simba iliyoanguka kutoka ukutani viashiria hakika JAH hakukosea kutoa zawadi ya kipaji cha kushika camera.

@omarrkombo
Screenshot_20220404-133037_Instagram.jpg
 
Huyu Bwana mdogo ameshaipata njia yake ya kupita kwenye usemaji, mwanzo alikuwa bado hajajua apite njia ipi ila sasa ameipata

Kuna muda ana package ya mtaa kabisa, anaweza kukupa vitu vya Tandale, Buguruni au Manzese, kuna kijiji amekipata hapa

Kuna muda anakupa package ya Mikocheni, Posta, Bahari Beach au Mbezi, ukitaka awe mfumo wa hivyo pia anaweza, ana kijiji pia amekipata hapa

The future looks young, keep on going Boys @ahmedally_
Screenshot_20220404-133244_Instagram.jpg
 
[emoji3578][emoji3578] Ahmed Ally

Huu ndo mzuka wa kimataifa!!![emoji91]

Usiku wa mnyamaa ulipendeza haswa

Huwezi amini kama hapo ni Benjamin Mkapa huo Moshi ndo unazalisha pumzi ya moto, wapinzani wakachanganyikiwa mpaka wakajifunga

Aisee majirani Kumbe mnajua kunyamaza Eeeh[emoji1][emoji1]

Kumbe mnajua kuacha kutukana kwenye page za watu [emoji1][emoji1]

Mpoo kimyaaaaa au mmefariki wote semeni kitu basi hatujawaozea hivyo [emoji3][emoji3]
Screenshot_20220404-133439_Instagram.jpg
 
Kocha wa zamani wa Barcelona na Manchester United, Louis Van Gaal ambaye sasa anainoa timu ya taifa ya Uholanzi amesema siku ya jana kuwa anasumbuliwa na saratani ya kibofu (Prostate cancer)

Aliyasema hayo kwenye show ya kipindi kimoja cha televisheni wakati anazindua documentary yake

“Nimewaambia wachezaji wangu juu ya tatizo hili, wenyewe wanashangaa mbona nina afya na nina nguvu siku zote ila ukweli ndio huo” alisema LVG
Screenshot_20220404-133943_Instagram.jpg
 
Pedri is taking his game to the next level [emoji119]

Mtoto kutoka Las Palmas yupo kwenye kiwango bora sana ndani ya jezi ya Barcelona, kwenye ushindi wa Barca dhidi ya Sevilla jana naamini lile bao ni moja kati ya mabao ya msimu
Screenshot_20220404-134226_Instagram.jpg
 
PTriple H aliingia kwa mara ya mwisho kwenye ring ya WWE na kuaga rasmi, wakati anaondoka akaacha buti zake kuonesha sasa mwisho umefika

Siku chache zilizopita The Undertaker nae alitangaza kustaafu ijapo hivi karibuni kuna teaser zake kuwa atarejea tena
Screenshot_20220404-134438_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom