Makapuku Forum

Makapuku Forum

Basi hongereni wana Thimba, **** zenu[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Mimi siwapi hongera
Walicheza na wanyonge[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Yaani wale maboya nimenyanyuka kwenda short call,narudi naona Morrison anamalizia kutoa assist eti bao la pili babeq nikazima na liTV huyooo kulala.
 
[emoji3578][emoji3578] Farhan Jr

Wakati wachezaji wa Liverpool wanashangilia ubingwa wa Carabao uwanjani pale Wembley, kila Mchezaji alikuwa na namna ya kuonesha furaha yake baada ya kuifunga Chelsea kwa penati

Mchezaji mmoja alishika chupa ya pombe na akataka aifungue kisha aimwage, ila pembeni yake alikuwepo Sadio Mane nyota ambaye ni muumini wa dini ya Kiislam ambaye pombe kwake ni haramu

Mane kwa haraka sana alimwomba mwenzie asifungue chupa ile ya pombe mbele yake, uungwana mkubwa pia kwa Mchezaji mwenzake ambaye nae alimuelewa Mane na akaacha kuifungua

Wakati wapo vyumbani wakiendelea na sherehe za ubingwa, picha nyingi sana za ndani Mane hakuonekana ila kulikuwa na footage moja tu ambayo Mane alikuwa ameshika mswala (mkeka wa kuswalia)

Kwenye video hiyo Mane alionekana anatoka anaelekea kwenye chumba kingine kwa ajili ya kukamilisha ibada ya swala ya Magharib baada tu ya mechi kuisha, ndio maana hakuonekana kabisa mwanzoni mwa sherehe

Sadio Mane huyu huyu baada tu ya kubeba ubingwa wa AFCON 2021, Liverpool ilikuwa tayari kumuandalia sherehe wakati anarejea ila yeye alituma ombi maalum kuwa wasimfanyie sherehe yoyote kwa heshima ya MO Salah wa Misri

Ikaja tena kuwa Mane na Senegal yake wamefuzu fainali za kombe la dunia, ni yeye tena akatuma ujumbe kuwa wasimfanyie sherehe yoyote kwakuwa ana heshima yake kwa Mohamed Salah na wachezaji wengine wa Afrika kikosini

Huyu ndie Sadio Mane ambaye Jurgen Klopp anasema sababu ya kumtumia Mane moja kwa moja kikosini akitoka michuano ya kimataifa ni kuwa, Mane hanywi kabisa pombe hivyo hana shida kwenye fitness

Niwatakie mfungo mwema wa mwezi mtukufu wa Ramadhan kwa hisani ya Ndugu yetu katika imaan, Ustadh Sadio Mane[emoji120]

We all dream to have the attitude like Sadio ManeView attachment 2173713
[emoji110][emoji110][emoji110] humbleness
 
Mimi siwapi hongera
Walicheza na wanyonge[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Yaani wale maboya nimenyanyuka kwenda short call,narudi naona Morrison anamalizia kutoa assist eti bao la pili babeq nikazima na liTV huyooo kulala.
Tabia yako mbaya, haupendi ushindi.
 
Back
Top Bottom