Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,862
- 183,135
Nitawapongeza mkichukua kombe.Kidogo tu auntie tupe pongezi hata ya kinafki
Nitawapongeza mkichukua kombe.Kidogo tu auntie tupe pongezi hata ya kinafki
Tutafika uko auntie. [emoji1787][emoji1787]Nitawapongeza mkichukua kombe.
Teh teh teeeh!Tutafika uko auntie. [emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]BREAKING: Katibu wa Bunge la Tanzania Nenelwa Mwihambi amesema vikao vya Bunge ambavyo vitaanza jumanne ya April 05,2022 vitakua vikirushwa LIVE kwenye TV, hii ni baada ya maboresho ya studio ya Bunge na kamati ya Bunge kuridhia hivyo vikao vya mkutano wa saba wa Bunge unaotarajiwa kuanza kesho utakuwa ukirushwa LIVE. View attachment 2175548
Haha ndiyo ndiyo mama muinjili [emoji4][emoji4]Nilijua I'd ngeni auntie aliitag kumbe karma
Huyu dogo naye msumbufu sana kila siku Real Madrid wanamtaka anawadengulia tu sijui anajiona bado muda anao hivyo anataka kuendelea kudeka huko kwao! Nasikia Real Madrid wakikutaka mara tatu ukadengua wanakupotezea!Mbappe anasumbua sana[emoji3]View attachment 2175471
Watu na 'brand' zetu mjini [emoji1787][emoji1787]Mweeeh!! Mbona brand[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Basi tumeacha.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Watu na 'brand' zetu mjini [emoji1787][emoji1787]
Juzi nilikutag na kina kalumbu wenzio ndio maana haijaniletea jina yaani napitwa mimi nikikaa makapuku nimekaa kama nina glueHaha ndiyo ndiyo mama muinjili [emoji4][emoji4]
Hahahaha anataka abembelezweHuyu dogo naye msumbufu sana kila siku Real Madrid wanamtaka anawadengulia tu sijui anajiona bado muda anao hivyo anataka kuendelea kudeka huko kwao! Nasikia Real Madrid wakikutaka mara tatu ukadengua wanakupotezea!
Natsingidziwa mno mimi [emoji2297][emoji2297][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Za ubishi
Wacha bwana!!!Natsingidziwa mno mimi [emoji2297][emoji2297]
Mwee ilikuwa inahusu nini hiyo post my dear? Yaani kweli umejichimbia sana huku hata selfika siku hizi umetususa!Juzi nilikutag na kina kalumbu wenzio ndio maana haijaniletea jina yaani napitwa mimi nikikaa makapuku nimekaa kama nina glue
Shauri yake akumbuke hakuna mchezaji mkubwa kuliko timu! Yeye mwenyewe anasema anapataka sana ila watu wanashangaa kinachomfanya asiende ni nini!Hahahaha anataka abembelezwe
[emoji16][emoji16] [emoji125][emoji125]Wacha bwana!!!
Achana na mimi wewe mwanamke.[emoji23][emoji23][emoji23]
Kabisa Auntie..hii wiki ni habari za Simba tu...Halafu Auntie nifanyie mpango wa jezi mpya.[emoji23]
Espy Eroni ngoja nitume mtu akamuangalie..Isije kuwa ameshindwa hata kutoka ndani...
ERoni mmeamkaje huko bhana?
Sitakiiiiiii.Jamani!! Kama mlivyosikia, kama mlivyoona.
Na wala haturingi[emoji23]
Cc Espy Eroni nakusalimu Love..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ilikuwa inahusu kula maparachichi selfika nitakuja nikipiga picha mpya si eti Saint Anne [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwee ilikuwa inahusu nini hiyo post my dear? Yaani kweli umejichimbia sana huku hata selfika siku hizi umetususa!