[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Pole sana auntie nilijisemea kila kitu nitakutana nacho asubuhi tungefungwa humu baba wawili lazima angekuja kucomment NigendakoKabisa Auntie..
Kuna mahali nilienda..Pressure niliyoikuta huko..Unaweza kunielewa Aunty akee[emoji2]
Asante binamu yangu kwa kushukuru[emoji120][emoji7]Shunie asante kwa magazeti.
Unachofanya (hatukusaidii bundle) ni sababu nyingine inayolifanya jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kuwepo.
Wacha upendo utamalaki.
makaveli10 nakusalimia mdau
[emoji23][emoji23][emoji23]Leo auntie hataingia makapuku[emoji1787][emoji1787]
Jamani wanayanga wa makapuku na mnaopita kimya kimya hii week hata msiingie ni simba tu humu na mapicha yao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....yeah, ilipata kibali, sisi wakazi wa Ntwara tunaruhusiwa kuingia mjini ila tusibebe abiria
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Auntie umemsoma vizuri kweli kasema ujigharamie
Imebidi nikasome vizuri Auntie..kweli Uncle hafai...[emoji23][emoji23]Auntie umemsoma vizuri kweli kasema ujigharamie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aungurumapooooo simba mcheza naniiiiiii. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Baada ya kushinda ukaona na mimi nije huku kwa makapuku sio😂😂😂😂 nimekukosea nini shem?😂[emoji23][emoji23][emoji23]
Kabisa Auntie..hii wiki ni habari za Simba tu...Halafu Auntie nifanyie mpango wa jezi mpya.[emoji23]
Espy Eroni ngoja nitume mtu akamuangalie..Isije kuwa ameshindwa hata kutoka ndani...
ERoni mmeamkaje huko bhana?
Kwani huku kuna nini we mzeeBaada ya kushinda ukaona na mimi nije huku kwa makapuku sio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimekukosea nini shem?[emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sasa auntie mpaka leo huna jezi mpya kweliiii[emoji23][emoji23][emoji23]
Kabisa Auntie..hii wiki ni habari za Simba tu...Halafu Auntie nifanyie mpango wa jezi mpya.[emoji23]
Espy Eroni ngoja nitume mtu akamuangalie..Isije kuwa ameshindwa hata kutoka ndani...
ERoni mmeamkaje huko bhana?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo ndio binamu obeImebidi nikasome vizuri Auntie..kweli Uncle hafai...[emoji23][emoji23]
Yaani wana yanga week hii waniblock tu kwa mda. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi sio kapuku we binti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mmefurahi hadi mmenikera[emoji23]Kwani huku kuna nini we mzee
Tungefungwa angekuja haraka sana ungemsikia shunie matokeo vipi ya simbaHa ha ha ha...
Halafu Nige amekuwa kimya jamani..
Hebu muite kwanza..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani sisi makapuku we mzee jina tu hilo hakuna kapuku humuMimi sio kapuku we binti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mmefurahi hadi mmenikera[emoji23]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Baada ya kushinda ukaona na mimi nije huku kwa makapuku sio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimekukosea nini shem?[emoji23]