Nyie endeleeni tu kuninyasanyasa muone!!Huwezi utaanzaje
Salama kabisasalama ?
Yaani nilijifanya mzungu nilijutaaa na yote hiyo uvivu wa kupikaUkajifanya mzungu eeh
Mie nishakuwa mzoefu, kuna siku nilisahau kama macha sikula nikalala tena bila kula. Nilishtuka usiku nahisi naumwa kila mahali, kumbe njaa bwana
Salama we mzee za kuadimikasalama ?
hahahaha nipo shangaziSalama we mzee za kuadimika
safiSalama kabisa
Nimefurahi kukuona we mzeehahahaha nipo shangazi
Tuko hapaaaaNimewamiss familia yangunipo busy busy leo
hahahahaNimefurahi kukuona we mzee
Shunie mma shunie majiiiiutake utaniongelea tu usitake utaniongelea ipo hivyoooooo
Halafu jobless mimi navaa gram 10 shingoniusishindane na mimi kabisa kukaaa na mbwa wenzio kuniongelea ongelea View attachment 2168205
auntie nimeshakuwa maji kama watu wanaamua kukaa tu na kukuzungumzia badala wazungumze habari zao
Yaani wapige hesabu laki 2×10= jibu watakalopata ndio navaa shingoni tu
Halafu kingine nawakumbusha mimi sikai storewakati unaponisema ujue unayemsema yupo vipi shunie mma shunie majiiiii
Auntie gram moja ujue laki 2 hiyo umepata hereni
Akiyananiumepata auntie tutaenda Indira ghandiunapoamua kunisema ujue kuvaa hata silver basi mtu mshamba upo uswekeni uko unaanza tu kuniongelea hovyo
Ya makapuakomeee D kukaa kuniongelea hovyo mtu unavaa mahereni ya makapu na ushamba wake uanze tu kuniongelea vibaya kabla haujamzungumzia mtu angalia yupojeee
Nyerere square nimekumbuka mbalihereni za makapu !!!
Mpaka nimekumbuka mambo ya sabasaba na nyerere square reymage
Msamehe dada, chambo limemfikia. Aloooh
BabeqWe mbwaaaahapo sio dukani hapo ni chumbani kwanguna hilo ni kabati langu la handbagssiishi store mimi na ukianza kuniongelea fananisha maisha yangu na yakoView attachment 2168507
@Shunie ana watuNikiwaambia shunie ni maaaaah hawasikiiii
Sasa rasmi shunie ni taasisi
Taarifaa zinakufikiajee kwani