Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Yaani nikikumbuka tu vile nasemwa na vijitu vishamba vya uswekeni hasira zinapanda upyaaaKwa nini sasa ...
Yaani nikikumbuka tu vile nasemwa na vijitu vishamba vya uswekeni hasira zinapanda upyaaaKwa nini sasa ...
🤣🤣🤣🤣🤣Aunt kumbe hasira huwa zinacharuka tena?!!
Jamani naomba handbag moja ya njano hiyo niweke stooni kwangu 🤣We mbwaaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapo sio dukani hapo ni chumbani kwangu [emoji847] na hilo ni kabati langu la handbags [emoji1787][emoji1787][emoji1787] siishi store mimi na ukianza kuniongelea fananisha maisha yangu na yako [emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2168507
Ila shunie🤣🤣🤣🤣Yaani nikikumbuka tu vile nasemwa na vijitu vishamba vya uswekeni hasira zinapanda upyaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shemeji yako anisamehe tu hasira zikinipanda upyaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndio hiyo kipenzi tatizo umekuwa adimu sana siku hiziJamani hii Jee wajua ya leo shunie Mbona siijui kabisa?
Ndio binamuAunt kumbe hasira huwa zinacharuka tena?!!
...sasa hapa utaharibu anko, mwenzako humu nimejitangaza kuwa nimefunga kwarazima, huyu binti mimi nimeiga kwako. Hivi Hamisa kwanini hapa mtaani wanasema ni suria wako?Anko nina salamu zakoo....yule binti wa kinyatuluuuu bhaaana yuko vzur pambana naee ..🤣🤣🤣
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Naddy niacheeeeJamani naomba handbag moja ya njano hiyo niweke stooni kwangu [emoji1787]
Najitahidi babe kuna mda nashindwaIla shunie[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Acha hizo
Hahahahaha binamu mambo gani haya sasa mimi nimefikishaa salaam unaleta mambo ya Nigendako ili uongeze asiraa za mama watoto shunie mremboooo...sasa hapa utaharibu anko, mwenzako humu nimejitangaza kuwa nimefunga kwarazima, huyu binti mimi nimeiga kwako. Hivi Hamisa kwanini hapa mtaani wanasema ni suria wako?
Wamekuudhi nini entertainment reporter wetu jameni?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Naddy niacheeee
No achana na hizo mambo plzNajitahidi babe kuna mda nashindwa
Najitahidi babe kuna mda nashindwa
Wamekuudhi nini entertainment reporter wetu jameni?
Hivi ipo kwanza hiyo nisije furahi kumbe aifoni ya mwisho ni 4[emoji2297][emoji2297][emoji2297]Shem nmekuwekea order ya aaaiiifooniiiii 14
Nafikiri, maana leo tutaonyeshwa viatu vyote na makabati ya nguo.Kuna mtu kaiba simu yake sio yeye
Hivi ipo kwanza hiyo nisije furahi kumbe aifoni ya mwisho ni 4[emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Acha tu mama kuna mshamba mmoja sijui natembea na roho yake kutwa pm kunizushia uwongoWamekuudhi nini entertainment reporter wetu jameni?