Makapuku yangu inatosha kabisauko bakini wenyewe
Makapuku pananitosha sana yaani sanaaa
Hahaaaaa....etiii eeehHii mechi naiweza mwenyewe siitaki featuring
Jamani πumepata auntie tutaenda Indira ghandiunapoamua kunisema ujue kuvaa hata silver basi mtu mshamba upo uswekeni uko unaanza tu kuniongelea hovyo
Hii itatufaa sisi wakulimaβ’ China imefanikiwa kutengeneza Drone ambayo ina uwezo wa kubeba mzigo mzito wenye hadi kilo 300 ambapo katika jaribio la kwanza Drone hiyo imebeba kilograms 300 za vifaa vya kujengea na kuvipeleka mita 300 juu ambako shughuli za ujenzi wa miundombinu ya umeme zilikuwa zinafanyika.CGTNView attachment 2168323
Jamani
Akisoma hivi si atalia huko alipo
Kweli kaka inawafaaHii itatufaa sisi wakulima
SawaKweli kaka inawafaa
Kristoo π³Jeshi la Polisi mkoani hapa linamsaka mkazi wa Nyarugusu, Masumbuko Sumbu (16) kwa tuhuma za kuwalawiti ndugu zake watatu wenye umri wa miaka 10 na mwingine minane.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Henry Mwaibambe amekiri kuwa Sumbu ambaye anajihusisha na shughuli za uchimbaji madini anatuhumiwa kuwalawiti watoto hao ambao ni wajomba zake anaoishi nao nyumbani kwa babu yao Kata ya Bukoli.
Wakizungumza na Mwananchi Digital watoto hao(majina tumeyahifadhi) wamedai kuwa, binamu yao huyo amekuwa akiwaingilia kinyume na maumbile kwa muda mrefu, lakini waliogopa kusema kutokana na kuwatisha kuwa atawaua.
βUsiku ukiingia kila mtu akiwa amelala anatuamsha na kutuambia tuvue nguo kisha anashusha surualiβ¦ anatuinamisha kwa zamu akitoka kwangu anakwenda kwa mwingine hadi wote watatu anapomaliza ndio analala,β amesema mmoja wa watoto hao.
View attachment 2168329
Inauma mnooooKristoo
π€£π€£π€£π€£ hereni za makapu !!!akomeee D kukaa kuniongelea hovyo mtu unavaa mahereni ya makapu na ushamba wake uanze tu kuniongelea vibaya kabla haujamzungumzia mtu angalia yupojeee
πππππ hivi we ni yanga eeh? Nigendakoβ’ Msemaji wa Yanga, Haji Manara amemteua muigizaji Steve Nyerere kuwa msemaji msaidizi wa klabu hiyo baada ya kijiuzulu usemaji wa Shirikisho la Muziki Tanzania
View attachment 2168335
Dunia ishakuwa ngumu sana hiiInauma mnoooo
Yanga huyo naonaga simba tukifungwa ananitania sana