Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Naaam auntie siachwii naacha [emoji23][emoji23] tanga hatoki boi sinaga historia ya kuachwa kabisa yaani nikikuchoka tu nakwambia bwana kila mtu aendelee na maisha yake tusisumbuane umenikuta na maisha yanguKwamba Unaacha Auntie...M'Tanga wewe!!!!
Hiyo aya ya pili imenikumbusha jana..kwamba uliona urudi ulipokuwa[emoji23]