Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kwani akitoa zile ushahidi unadhani anahitaji marafiki sisi tumpe back up? Yani ni aibu kwa watu wazima walio kwenye forum kama hii kujazana upupu na kuusambaza. Kwa kifupi bidada na bwana wao na hao wengine waliokua wanachat PM tunasema WANAJITISHA.
Mbona na bwana wao[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ujinga nao mzigo.
 
My ndugu wasamehe ila ukisikia tena toa ushahidi wooote umuache chiu ntu na ntue.

Hivi wakipita wakiona kwamba na ushahidi wa message zao za WhatsApp na PM sijui wanajisikiaje [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Sema ule mwandiko wa ule kaka umekaa mwanaume flani anaependa attention na uzuri kajua mwanamke wake rahisi kumchota akili ndo maana akawa anamjaza vile.

Halafu kwani mwanaume hawezi kuomba chiu mpaka ampondee mwanamke mwingine??? Mshamba sana huyu memba mfyuuuu
Hapa nawaza hivi sio yale mabooza mawili ya siku zote kweli[emoji1787][emoji1787]
 
Mbona na bwana wao[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ujinga nao mzigo.
Eeeh bwana wao maana na yeye ndo anamjaza huyo mwanamke wake eti Shunie anataka kuzaa nae na yeye hataki. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Sasa hata kama ni kweli unaenda kumwambia ex wako ili iweje? Kwamba unapendwa sana au? USHAMBA MZIGO
 
Hapa nawaza hivi sio yale mabooza mawili ya siku zote kweli[emoji1787][emoji1787]
Itakua ndo hayo hayo. Halafu sasa kijana yuko busy anaimbidha ID ingine wakati bidada anahangaika PM kumjadili Shunie [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Asipokua makini atagombanishwa na wanawake wote huku na huyo bwana wao na wakati akigombana muzee anavuta totoz ingine aijaze upupu
 
Eeeh bwana wao maana na yeye ndo anamjaza huyo mwanamke wake eti Shunie anataka kuzaa nae na yeye hataki. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Sasa hata kama ni kweli unaenda kumwambia ex wako ili iweje? Kwamba unapendwa sana au? USHAMBA MZIGO
Si wamekutana mapooza wote, sasa wataongea nini zaidi ya huo upuuzi. Yale ni mapooza matakatifu. Match made in hell.
 
Kwahiyo kaungua au hajaungua jamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama kaungua basi na ndugu yetu nae tayari. Hivi unaweza mtangazia mwanaume wako kaungua kweli? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Yani walivyo mabolizozo hata hawatumii tu akili kwamba hamna mtu analala na mtu halafu anamtangaza ana UKIMWI
 
Si wamekutana mapooza wote, sasa wataongea nini zaidi ya huo upuuzi. Yale ni mapooza matakatifu. Match made in hell.
Perfect combo. Ila mwanamke ni mjinga zaidi kashindwa kujua bwana anamvuta amle tena yeye anabeba story anazojazwa nazo kama zilivyo na kuzisambaza [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Itakua ndo hayo hayo. Halafu sasa kijana yuko busy anaimbidha ID ingine wakati bidada anahangaika PM kumjadili Shunie [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Asipokua makini atagombanishwa na wanawake wote huku na huyo bwana wao na wakati akigombana muzee anavuta totoz ingine aijaze upupu
Sasa kwani hata akili ya kung'amua hilo unafikiri anazo!!
 
Kama kaungua basi na ndugu yetu nae tayari. Hivi unaweza mtangazia mwanaume wako kaungua kweli? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Yani walivyo mabolizozo hata hawatumii tu akili kwamba hamna mtu analala na mtu halafu anamtangaza ana UKIMWI
Ujinga nao kipaji walah[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hizo akili za kufikiria hivyo hawana trust me. Yaani hapo ndipo ufahamu wao ulipofikia.
 
Eeeh bwana wao maana na yeye ndo anamjaza huyo mwanamke wake eti Shunie anataka kuzaa nae na yeye hataki. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Sasa hata kama ni kweli unaenda kumwambia ex wako ili iweje? Kwamba unapendwa sana au? USHAMBA MZIGO
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mimi wa kutaka kuzaa kweli mimi jamaniii naanzaje kuzaaa kifala
 
Itakua ndo hayo hayo. Halafu sasa kijana yuko busy anaimbidha ID ingine wakati bidada anahangaika PM kumjadili Shunie [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Asipokua makini atagombanishwa na wanawake wote huku na huyo bwana wao na wakati akigombana muzee anavuta totoz ingine aijaze upupu
Najiuliza huyu dada pm anakosa vya kuongea kweli ni shuniee shuniee
 
Back
Top Bottom