Ila jf [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unaweza ukatungiwa habari we mwenyewe huzijui ndio unashangaa unapozisikia kwamba zinakuhusu wewe aloooo
Ila jf [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unatungiwa habari mwenyewe huzijui yaani nacheka sana
Hivi we dada kwa nini unanifatafata hiviiii
Ndugu yangu mambo ya jf acha tu umekaa huna hili wala lile unaambiwa unaambiwa ooh mnataka kuweka thread sijui mumseme mtu ana ukimwi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28]
Ndugu yangu mambo ya jf acha tu umekaa huna hili wala lile unaambiwa unaambiwa ooh mnataka kuweka thread sijui mumseme mtu ana ukimwi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28]
Saa chache baada ya Alex Kabangu kumtaja Hassan Mwakinyo kuwa ndiye bondia bora nchini Tanzania, kambi ya bondia Twaha Kiduku imemjibu bondia huyo wa DR Congo ambaye siku wa kumkia leo amechapwa kwa pointi na Kiduku.
Kabangu muda mfupi baada ya kuchapwa na Kiduku kwa pointi mjini Morogoro, alimtaja Mwakinyo kuwa ndiye bondia bora kati ya mabondia wa Tanzania.
"Kwa Tanzania, Mwakinyo ndiye bondia bora, hakuna zaidi yake," alisema Kabangu, kauli ambayo kocha wa Kiduku, Power Iranda amesema ni ya mkosaji.
"Yeye akubali akatae amepigwa bila ubishi, hayo ya kumtaja Mwakinyo kuwa ndiye bondia bora ni maneno ya mkosaji tu," amesema kocha huyo wa muda mrefu wa Kiduku.
Amesema Kabangu kumtaja Mwakinyo kuwa ni bora baada ya kupigwa na Kiduku ni kama anataka kutengeneza njia ya kucheza pambano na bondia huyo.
"Anataka tu kuwa kwenye midomo ya mashabiki wa ngumi, kusema Mwakinyo ndiye bondia bora kwenye pambano la Kiduku ni kutengeneza tu sintofahamu kwa mashabiki, ingawa binafsi namuona Kiduku ni bora zaidi.
View attachment 2165985
Nini D jamaniMweee
Mimi apa yaani kuna mtu ananichokoza kila siku halafu sina mda nae aendelee nitamfurahisha kuweka chart zake anazonisemaIla shunie [emoji23][emoji23]
Nipo apa babe [emoji847]Babe shunie
Style yako ya kuwa tu unamwaga story mwenyewe inafurahisha😁Nini D jamani
[emoji23][emoji23][emoji23] kuna mbwa zinakera sana yaani wanakaaa tu uko pm kwao wanakutungia habari eti shunie anataka kumwandikia thread mtu ana ukimwi hivi hawa mbwa wananichukuliaje mimi lakini kunitungia story zao yaani unabaki unashangaa kusikia hizo habari maana ndio mara yako ya kwanza na evidence juu yaani huyu dada anikome jamani kunifatafataStyle yako ya kuwa tu unamwaga story mwenyewe inafurahisha[emoji16]
Jambo la ukimwi limenishtua[emoji1787] nauogopaa tu, na vile sijui kama upo au haupo
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] natamani auntie Makiwendo uwepo nimekumiss jamani au mambo kwa ground in tofautiiii
Ahsante Uncle..Wikend njema wadau na mwanzo mzuri wa wiki la mwisho la mwezi tambazi March
I love u babeeNipo apa babe [emoji847]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23] kuna mbwa zinakera sana yaani wanakaaa tu uko pm kwao wanakutungia habari eti shunie anataka kumwandikia thread mtu ana ukimwi hivi hawa mbwa wananichukuliaje mimi lakini kunitungia story zao yaani unabaki unashangaa kusikia hizo habari maana ndio mara yako ya kwanza na evidence juu yaani huyu dada anikome jamani kunifatafata
Penye wengi kuna mengi..[emoji23][emoji23][emoji23] kuna mbwa zinakera sana yaani wanakaaa tu uko pm kwao wanakutungia habari eti shunie anataka kumwandikia thread mtu ana ukimwi hivi hawa mbwa wananichukuliaje mimi lakini kunitungia story zao yaani unabaki unashangaa kusikia hizo habari maana ndio mara yako ya kwanza na evidence juu yaani huyu dada anikome jamani kunifatafata
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nilijua tu auntie yangu nilikumiss sana sana[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Auntie!!! Nimecheka jamani...
Mambo kwa ground siyo poa Auntie..
I miss, miss you...
Auntie acha tu yaani kuna mdada kanitungia habari zake uko nabaki nashangaa tu eti nataka kuweka thread nimseme mtu ana ukimwi unajua unabaki kushangaa sababu habari huzijui yaani unabaki unashangaaAuntie!!!
Nini kimetokea tena jamani?
Nimeogopa!!!