Makapuku Forum

Makapuku Forum

Pep Guardiola ni moja kati ya Makocha hatari sana duniani, amepika pia Makocha wengine hatari

Pep alivyokuwa Bayern Munich aliwahi kuwa na Eric Ten Haag wa Ajax, aliwahi pia kumfanyia mentoring Zinadine Zidane

Pep yupo Manchester City lakini kwenye mikono yake amepita Mikel Arteta wa Arsena
Screenshot_20220314-104717_Instagram.jpg
 
Farhan Jr

THREATS TO WORLD PEACE AFTER THE SECOND WORLD WAR

Kwenye hii dunia kulikuwa na vita baridi yani Cold war, kulikuwa na utofauti mkubwa wa kimtazamo kati ya pande mbili, upande wa Mashariki na upande wa Magharibi

Nini kimesababisha VITA HIVI BARIDI?

- Mosi, utofauti wa kimtazamo kati ya pande mbili, lakini upande wa Magharibi kumradhi mnamshindanisha na Kapombe yupi? Huyu aliefunga bao la kwanza miaka 11 nyuma ndani ya Ligi na alietoa Assist mechi iliyopita?

Mfano tu, Kapombe yupi ambaye aliumia pale Azam akiwa anaongoza kwa mabao ndani ya ule msimu akiwa na mabao nane? Au Kapombe huyu wa Shirikisho na Klabu bingwa Afrika?

Pili, The Ngaya Expansionism policy, ndio kweli wanataka ukubwa lakini huwezi kukuwa na kutanuka bila kufanya kazi, Wachezaji wa Simba wamefika walipo kwa kufanya kazi, ukubwa unahitaji consistency

Kapombe hajajiweka hapo alipo bali day in and day out, akiwa fit basi hakuna shaka hakuna wa kumuweka nje, akiwa fit kiwango chake tu kinampa nafasi ya kuwa beki bora zaidi wa kulia nchini

Mwisho, the so called KUKINAI POLICY, ndio watu hukinai, ukiwa kwenye ubora kwa muda mrefu sana basi watu hukinai, ukiwa bora kwa muda mrefu kama watashindwa kukushusha basi atasetiwa Mtu wa kukushindanisha nae

Sio kwamba Shomari hajulikani ubora wake bali, watu tu wamekinai

Screenshot_20220314-105259_Instagram.jpg
 
KINARA wa Ligi Kuu Bara, Yanga inaendelea kupiga hesabu zao za ubingwa msimu huu, lakini ghafla wakashtukia jambo baada ya kuenea tetesi straika wao mkali wa kufumania nyavu, Fiston Mayele anatakiwa klabu ya Kaizer Chiefs na fasta wakamwambia jamaa ye aendelee kucheka na nyavu tu ili wasiyumbe.

Katikati ya wiki kulizuka taarifa Mayele mwenye mabao 10 na asisti tatu anatakiwa na klabu hiyo ya Afrika Kusini na mmoja wa vigogo wa Jangwani, aliamua kuingia chimbo kusaka taarifa hiyo na kubaini ni kanyaboya yenye lengo la kuitaka kuwavuruga katika mbio zao za kuwania ubingwa na hapo hapo akaamua kumwita straika huyo na kuzungumza naye asivurugwe na taarifa hizo na badala yake azidi kufunga zaidi.

Akizungumza na Mwanaspoti jana, Mtendaji Mkuu wa Yanga, Senzo Mazingisa alisema ameshtukia taarifa za ofa ya Mayele kutakiwa na Kaizer Chiefs ni propaganda za kutaka kumpunguza kasi mshambuliaji wao huyo aliye katika kiwango bora.

Senzo ambaye ni raia wa Afrika Kusini, alisema mapema alifuatilia taarifa hizo hadi Afrika Kusini na ndani ya Kaizer na kugundua ni uzushi tu na haraka wakamweka chini Mayele na kuzungumza naye.
Screenshot_20220314-115123_Instagram.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom