Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Si kammis shem liiDuh kwahiyo anachagua wa kumpa like
Si kammis shem liiDuh kwahiyo anachagua wa kumpa like
Sawa bwanaSi kammis shem lii
Nazipata za kutoshaSawa bwana
Nini tena unazipataNazipata za kutosha
Ndiyo Auntie...Kwaresma Ipo tight.eenh juzi nilikuona hapa upo kwenye kwaresma
ahsante shangaziHahahhah auntie yeye tu akiwa tayari nampeleka
Hahahahaha hii najua inanikutaga mwenyewe nilisema sitagusa beer mpaka kwaresma iishe kuna mda nashindwa Mungu atusamehe tu auntieNdiyo Auntie...Kwaresma Ipo tight.
Ila si unajua kuna wakati Moyo U radhi lakini mwili ni dhaifu Auntie?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa we mzeeAmkeni.mjiandae na
Jumuia
Sabato
Binamu nakusalimia tu mimi...anko wangu, salaam nimezipokea kwa mikono miwili sema ujue nini, wajanja walichana sambusa dirishani wakaloa simu. Kwa hiyo anko ukikutana na mteja anauza simu usinunue.
Wikend njema anko wangu