Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ahsante Dear...
Mambo humu ni tight kama kifuniko ya Gas Auntie.... Nimechekaaa[emoji23][emoji23]

Akii nimesoma nikashtuka.. Wamekuchokoza...

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Si unajua vile mtu huna mazoea naye au anaweza tu kukusema ili mradi tu mara paap unakutana na like yake halafu kaitoa kumbe huwa ananifatilia kimyakimya like imemuumbua [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] naona hatarudia tena au siku nyingine anifatilie tu kwa umakini sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka kama mazuri jamani..Kuna mambo ya ajabu humu...

Anyway, achana nayo Aunty Ake yasikupotezee muda...Next time atapita kwa Uangalifu[emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Screenshot_20220306-072948_Opera%20Mini.jpg
 
Back
Top Bottom