Karibu tenaaNimerudishwa we mzee [emoji847]
Wapiiii tenaKule mbona umehama?
[emoji120][emoji120]Karibu tenaa
waoh safi sana.karibu tena shangazi.nilishaanza kukondaNimerudishwa we mzee [emoji847]
pole eeeh shangaziHata sijui jamani
Hahhaha sema kweli we mzeewaoh safi sana.karibu tena shangazi.nilishaanza kukonda
Asante sana jamani nimeshapoapole eeeh shangazi
kweli kbs shangazi.nilikua naona jf chunguHahhaha sema kweli we mzee
kweli kbs shangazi.nilikua naona jf chunguHahhaha sema kweli we mzee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yaani we mzee unavyonijaza jamanikweli kbs shangazi.nilikua naona jf chungu
ok,furahi day iliendaje na jmos ya leo ikoje shangaziAsante sana jamani nimeshapoa
Iko poa kabisa we mzeeok,furahi day iliendaje na jmos ya leo ikoje shangazi
hapana sikujazi shangazi.nasema kweli toka moyoni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yaani we mzee unavyonijaza jamani
Hahahaah nafurahi kusikia hivyo we mzee kujua kwamba kuna watu wananipenda sana nikiwa sipo wanajua umuhimu wangu [emoji120][emoji120]hapana sikujazi shangazi.nasema kweli toka moyoni