Makapuku Forum

SURE BOY KUIKOSA BIASHARA LEO

.
Kocha wa Yanga, Profesa Nasreddine Nabi amethibitisha kuwa kwenye mchezo wa leo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Biashara United anatarajia kumkosa kiungo Abubakari Salum ‘Sure Boy’ ambaye ameumia mazoezini.
 
Farhan Jr

RALLY BWALYA UPDATES


Kutoka kwenye vyanzo vyangu ni kuwa jana Skauti kutoka Afrika Kusini wametimiza mechi zao takribani tatu za kumtazama Kiungo Rally Bwalya wa Simba

Nyota huyo amekuwa akihitajika PSL tangu msimu uliopita, miamba mitatu ikimtazama kama Kiungo anaefaa kucheza kwenye timu zao (Ijapo jana walikuwepo wa timu moja pekee)

Msimamo wa RB tangu msimu uliopita ulikuwa ni kubaki Msimbazi, ijapo bado haifahamiki mwishoni mwa msimu huu atakuwa na msimamo gani ila bado yupo kwenye rada

Bado hakuna ofa yoyote iliyotumwa Simba wala jitihada za kuwasiliana na upande wa Bwalya, bado timu zinatathimini mwishoni mwa msimu

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…