DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,311
- 109,514
Sahii kabisa[emoji4]Diallo na Gueye wamepewa mapokezi jana Parc des Princes baada ya kushinda kombe la AFCON, ikiwa hivyo pia kwa Sarr wa Bayern Munich na Mendy wa Chelsea
Bado tunasubiri Sadio Mane kwa LiverpoolView attachment 2117081