Makapuku Forum

Makapuku Forum

Yaan palinishinda pale, Kuna vijana wa vyuoni hovyo hovyo mikele MDA wote, afu wanamwagiana mipombe bila ustaarabu.

Lugha za ajabu ajabu, yaan full tafrani pale.

Sasa nikitoka zangu mizungukkni, huwa nahitaj sehem tulivu kama GP kutuliza nafsi Kwanza na mziki was kiutu uzima[emoji4]
Yaani full utoto pale
 
AZAM KIBABE ROBO FAINALI ASFC [emoji471]
.
FT: BAGA FRIENDS 0-6 AZAM FC
[emoji460]️ Charles Zulu (pen)
[emoji460]️ Paul Peter
[emoji460]️ Paul Peter
[emoji460]️ Paul Peter
[emoji460]️ Paul Katema
[emoji460]️ Amoah
Screenshot_20220213-041840_Instagram.jpg
 
Morrison ameshaandika barua kwa uongozi na imebaki uamuzi wa CEO kuamua kama atalimaliza hilo suala au atalipeleka kwenye kamati za kinidhamu kama atakuwa hajaridhishwa na maelezo hayo.

- Ahmed Ally, Meneja Habari na Mawasiliano Simba.
Screenshot_20220213-042226_Instagram.jpg
 
[emoji3544]Wastani wa umri wa kikosi cha Asec Mimosa ya Ivory Coast ni miaka 23 na miezi mitano kwa wachezaji walioorodhesha msimu wa 2021/22 ambao ni wachezaji zaidi ya 40

[emoji3544]Kwenye hao wachezaji wapo wachezaji wawili tu wenye umri juu ya miaka 30! Hivyo wachezaji wao wengi ni Under 30!

[emoji3544]Natarajia sana Peter Banda na Pape Ousmane Sakho waanze na bila shaka wataonesha kitu, michuano ya Afrika ni showcase ya kuonesha uwezo

Screenshot_20220213-042721_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom