
KUMBE nawe mdauMchezaji mpya wa Aston Villa, Philippe Coutinho aliyetoka kwa mkopo katika klabu ya Barcelona ameonekana kuwa na wakati mzuri toka amefika klabuni hapo ukilinganisha na alipotoka.
Mechi-3
Mabao-2️
️
Assist-2
View attachment 2117050

Naam Deep huku ndio nyumbani kwangu karibu sanaKUMBE nawe mdau![]()
Aisee,

Hii ndo anachopitia lukaku na cr7 pale epl, wanacheza under pressure Kisha wanapoteanaKijana Jadon Sancho bado hajatulia, bado hajajipata yule wa Dortmund, sidhani kama ulikuwa uamuzi sahihi kurejea EPL mapema hivyo
Nadhani ilikuwa bado muda wa kupambana kisha kusogea timu kama Bayern Munich pale pale Bundesliga
Watoto wengi wa South London wana vipaji vikubwa sana ila chini ya presha wanapoteana sanaView attachment 2117080
