Hawa yanga kama wamemsajili moses phiri kweli msimu huu kazi ipo.
Nani huyo tena Manga au unaongea na simu jamaniSasa ivi wewe ni dada yangu
...kuna jipya?! Au umetuita kusalimia au kiulizo?Makapuku
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...kuna jipya?! Au umetuita kusalimia au kiulizo?
Kiwasalimu tu nakuwapa heri yenu ya mwaka mpya...kuna jipya?! Au umetuita kusalimia au kiulizo?
Shukrani mkuu na kwako piaKiwasalimu tu nakuwapa heri yenu ya mwaka mpya
Asante sanaShukrani mkuu na kwako pia
Karibu sana makapuku