[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni matamu na pia yanauma...
Hayanaga muongozo...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hakika wapunguze uzembe...
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
[emoji2356][emoji2356][emoji2356][emoji2356]Bado hujapona vizuri vizuri kabisa...
Kua mpole [emoji177]
😅😅[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yanaumaje eti
Tanteee shoo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28]
Hata sijui naonaga tu binadamu wa siku hizi wale wabishi...
Wakibishana ati:
Unayempenda kampenda mwingine...
Huyo mwingine nae ana mwingine...
Na huyo mwingine nae kapendwa na mwingine...