Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mpaka nikajiuliza ni mjomba kweli au Husna Muba? Kaiba simu

...ha hahahaha, huyu kanipa talaka sasa hivi nahangaika na dunia yangu mwenyewe tu yeye anakula raha, nalipia child support tu maana alienda ustawi wakanibana.

Bora wewe nyumba nyingi, hawajui wakushitakie nyumba ipi
 
Mjomba nilikuonya lakini kuwa mara kumi ungelikomaa na muuza mitumba kuliko yule ...
Mimi nyumba zinapunguaa , na mm nataka kuwa kama wewe
 
Obe mjombaaaaaaaaa Nimefurahi kukuona tokea jana japo jana nilikuwa na ule mpango kazi wetu
...ukifanikisha ule mpango kazi basi Dec hii utajilia vitu laini miguu juu yaani kula bata mawazo ya ada tupa kule. Ijumaa lazima tukutane tufanye mpango kazi
 
...ukifanikisha ule mpango kazi basi Dec hii utajilia vitu laini miguu juu yaani kula bata mawazo ya ada tupa kule. Ijumaa lazima tukutane tufanye mpango kazi
Sema sasa wachawi wengi mtaani kwetu , hii dec mbona ya familia kabisa
Sema sijapenda ABJ Alichokufanyiaa
 
Sema sasa wachawi wengi mtaani kwetu , hii dec mbona ya familia kabisa
Sema sijapenda ABJ Alichokufanyiaa
...yaani acha tu mjomba, asante kwa kunipa maneno mazuri ya kunifariji maana yeye ndo alikuwa tegemeo langu ila ukaniharibia
 
Screenshot_20211214-081621_Opera%20Mini.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom