Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hivi nyiee mnaoachana na kuanza kumlilia mpenzi wako inakuwaje kuwaje yaani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hayo mambo yamenishinda mie anajisemeaga babe wangu acha uzembe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huwaga nawashangaa sana kumlilia mtu mzima kama yupo huyohuyo peke yake

Mmeachana kila mtu aendelee na maisha yake jamani atakuja mwingine zaidi yake

Tuenjoy tu jamani maisha ndio hayahaya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna mtu analilia mtu kumbe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Nimecheka sana.

Amuache mwenzie amove on salama.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wapo mama wanaolia lia wakiachana najiuliza hivi wanawezaje haya mambo mbona me siwezi kabisa

Tukiachana tumeachana endelea tu na mambo yako
 
Nyieeeeee haya mambo uyasikie tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20211217-205558_Instagram%20Lite.jpg
 
Serikali ya Korea Kaskazini imetoa agizo kwa raia wake kuwa hawaruhusiwi kucheka, kununua au kunywa vilevi au kuonesha kiashiria chochote cha furaha ndani ya siku 11 kuelekea kuadhimisha miaka 10 ya kifo cha Kim Jong II aliyekuwa baba wa Rais wa Korea Kaskazini Kim Jong Un.

Kim Jong II alikuwa rais wa Korea Kaskani kuanzia mwaka 1994 hadi 2011alipofariki kwa ugonjwa wa moyo akiwa na umri wa miaka 69,

Nafasi yake ilichukuliwa na mtoto wake wa tatu Kim Jong Un ambae ndiye rais wa Taifa hilo kwa Sasa.
Screenshot_20211217-210555_Instagram%20Lite.jpg
 
Serikali ya Korea Kaskazini imetoa agizo kwa raia wake kuwa hawaruhusiwi kucheka, kununua au kunywa vilevi au kuonesha kiashiria chochote cha furaha ndani ya siku 11 kuelekea kuadhimisha miaka 10 ya kifo cha Kim Jong II aliyekuwa baba wa Rais wa Korea Kaskazini Kim Jong Un.

Kim Jong II alikuwa rais wa Korea Kaskani kuanzia mwaka 1994 hadi 2011alipofariki kwa ugonjwa wa moyo akiwa na umri wa miaka 69,

Nafasi yake ilichukuliwa na mtoto wake wa tatu Kim Jong Un ambae ndiye rais wa Taifa hilo kwa Sasa.View attachment 2047910
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
Hivi nyiee mnaoachana na kuanza kumlilia mpenzi wako inakuwaje kuwaje yaani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hayo mambo yamenishinda mie anajisemeaga babe wangu acha uzembe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hakika wapunguze uzembe...

Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Back
Top Bottom