Makapuku Forum

Makapuku Forum

Screenshot_20211129-174401_Instagram%20Lite.jpg
 
Kauli ya Mbunge wa Vunjo, Dk Charles Kimei kuwa wachaga wanapenda biashara ya magendo inaonekana kuchafua hali ya hewa ambapo kikundi cha wazee kutoka jimboni humo kimejitokeza na kutoa tamko kali dhidi yake.

Katika tamko hilo, wazee hao wa kichaga wamelaani kauli hiyo na kwamba wanachukulia kauli hiyo kama matusi kwao na kumtaka Dk Kimei ajitokeza hadharani na kufuta kauli hiyo katika kumbukumbu rasmi za Bunge.
Screenshot_20211129-195254_Instagram.jpg
 
'Tumeumizwa sana' ni kauli ya mmoja wa makomandoo aliyekuwa mlangoni kuzuia mashabiki kuingia uwanjani kushuhudia mazoezi ya Yanga yanayoendelea muda huu katika uwanja wa Sokoine Mbeya.

Yanga kesho itakuwa uwanjani saa 10:00 kumenyana na Mbeya Kwanza katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC.
Screenshot_20211129-195421_Instagram.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom