Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,166
Rais wa Afrika Kusini amelaani marufuku ya kusafiri iliyowekwa dhidi ya Nchi yake na Nchi nyingine Jirani za Afrika kutokana na aina mpya ya kirusi cha Corona Omicron huku akisema hatua hiyo inavuruga uchumi wa Nchi hizo.
Ramaphosa amesema amesikitishwa sana na hatua hiyo na kutaka marufuku hiyo kuondolewa haraka.
Ramaphosa amesema kwa Nchi tajiri badala ya kuweka marufuku wanapaswa kusaidia kuinua uchumi wa Nchi zenye kirusi hicho kipya na kuwapa chanjo za kutosha, Uingereza, EU na Marekani ni miongoni mwa walioweka marufuku ya kusafiri.