Makapuku Forum

Makapuku Forum

Screenshot_20210912-120307_Instagram%20Lite.jpg
 
Nyie wanaume ndio maana mnaambiwa muoe wanawake ambao mtakuwa nao kwenye raha na matatizo

Oa slay queen uwe na shida au tatizo lolote utaona rangi zote

Screenshot_20210912-120842_Instagram%20Lite.jpg
 
RIVERS UNITED WAGOMA KUINGIA VYUMBANI

Wachezaji na viongozi wa Rivers United wamegoma kuingia kwenye vyumba vya kubadilishia nguo kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa na badala yake wakataka kubadilishia nguo kwenye eneo la MIX ZONE

Stewards wa uwanja wa Benjamin Mkapa wakawaelekeza wasibadilishie nguo eneo hilo, waingie vyumbani hapo ndipo mabishano yakaanza!
Screenshot_20210912-164344_Instagram.jpg
 
RIVERS UNITED WAGOMA KUINGIA VYUMBANI

Wachezaji na viongozi wa Rivers United wamegoma kuingia kwenye vyumba vya kubadilishia nguo kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa na badala yake wakataka kubadilishia nguo kwenye eneo la MIX ZONE

Stewards wa uwanja wa Benjamin Mkapa wakawaelekeza wasibadilishie nguo eneo hilo, waingie vyumbani hapo ndipo mabishano yakaanza!View attachment 1934901
😀😀😀😀😀
 
nicheke tuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom