[emoji23][emoji23][emoji23]Halafu kingine jamani mapenzi matamuuuu [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] ukimpata anayekupenda jamani usimwachie mshikilie ukimwachia tu wenzio wanamdaka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mwisho wa siku akidakwa unabaki muimba taarabu
Nyieee jamani mapenzi matamuuu naenjoy mimi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kweli ujue ukiwa na kitu unakiona hakina thamani unaachana nacho kumbe wenzio walikuwa wanasubiri tu umwachie wamdake wampendee wamdekezeee wamjali kwa kila kitu [emoji847][emoji23][emoji23][emoji23]
Thamani ya kitu huonekana kikishaondoka.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kweli ujue ukiwa na kitu unakiona hakina thamani unaachana nacho kumbe wenzio walikuwa wanasubiri tu umwachie wamdake wampendee wamdekezeee wamjali kwa kila kitu [emoji847]
Na ndio maana tunaambiwa ukiwa nacho kikumbatie na kukishikilia usikiachie kama hakina tatizoThamani ya kitu huonekana kikishaondoka.