Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Yanga SC imetangaza rasmi kuwa katika mchezo wa Jumapili itawakosa Fiston Mayele, Shaban Djuma waliojiunga nao kutokea AS Vita ya Congo DR pamoja na Khalid Aucho kutokana na ITC zao kuchelewa kufika kabla ya usajili wa CAF kufungwa.
“Achana na habari za porojo eti Yanga inadaiwa ndio maana wachezaji wake watatu (Mayele, Aucho na Djuma) hawatocheza sababu inadaiwa, hii akili ya wapi kwa nini CAF wasizuie wachezaji wote tuliowasajili, si wangezuiwa wachezaji wote tuliowasajili, hizo ni mbinu za kututoa mchezoni” ——— Hajis manara