Makapuku Forum

Makapuku Forum

Screenshot_20210908-064456_Opera%20Mini.jpg
Screenshot_20210908-064512_Opera%20Mini.jpg
 
"Haturudi tu hivihivi, kurejea kwa Mabingwa tunataka twende mbali zaidi, target ya Yanga msimu huu ya kwanza ni kutetea Ubingwa wetu tulioupoteza kwa miaka mingi, lazima twende kurejesha ubingwa wetu sisi ndio home of champions, kushinda ubingwa FA, kuvuka group stage sio kufikia, ni kuvuka.... sisi tunataka kuvuka, kufikia no doubt about it... pia kushinda ngao ya jamii na Mapinduzi Cup, hatuachi kikombe hata kimoja" ——— Msemaji wa Yanga Hajis Manara leo Dar es salaam.
Screenshot_20210908-135512_Instagram.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom