Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,971
farhan jr SIMBA SPORTS CLUB VS BUSINESS & NETWORKING
Leo namalizia sehemu ya mwisho! Juzi na jana tulikuwepo eneo la biashara, tumesema mengi nadhani tulielewana japo kwa uchache! Tuje kwenye NETWORKING
Networking ni kama connection, hiki kitu kilikuwa kinakosekana kwenye klabu ila ujio wa CEO mpya ndipo alipoanza napo, anaweza asiufahamu sana mpira ila anafahamu Biashara ya mpira
Alifahamu klabu ipo Localized (ndani ya nchi) yeye akalazimika kusafiri ili kuikuza brand ya Simba, hapa tunaconnect na kitu kinaitwa BRAND AWARENESS, ni kama ufufuo wa brand iliyolala
Niwakumbushe kitu nchini kwetu Simba kama Brand inafanywa INFLUENCING tu kwakuwa ina hadhi yake, ila nje ni AWARENESS kwakuwa haijulikani sana, CEO yupo kwenye mission ngumu mno
Kwanini CEO anapambana na Networking? Kwakuwa anajua hata Uwekezaji hauna maana kama mtakwama eneo hili, hata mafanikio ni ngumu kupatikana
Mtu anaweza kuuliza kivipi? Awali nikwambie kitu kuhusu aina za Networking kwa klabu zote duniani! Kuna Club vs Big Clubs, Clubs vs Agency (Mawakala), Clubs vs Federation (Mashirikisho) na Club vs Media
Tuanze na klabu dhidi ya Klabu kubwa! CEO wa Simba alienda Mamelodi Sundowns (Mabingwa wa Afrika na Afrika Kusini), alienda Cairo kwa Al Ahly (Mabingwa wa kihistoria Afrika na Mabingwa wa Misri) kisha connection yake na FAR RABAT
Kwanini alienda huko? Ni hii hoja ya Networking, kutafuta uwanja rafiki (common ground) kati ya Simba na Miamba, hapa kuna target zaidi ya tatu alilenga, mosi Brand awareness, elimu na connection (Masoko na Mauzo)
Simba imefaidika na nini hapo? Nikukumbushe japo kidogo tu, ulisikia lawama zozote Simba alivyoenda kucheza Cairo na Ahly? Ulisikia lawama Ahly alivyokuja nchini? Hii ni network inayozaa maslahi ya pamoja
CEO kwenye eneo hilo hilo!
ITAENDELEA......
Khouribga 0-[1] Simba SC 


- Kocha bora wa Ligi ya Mabingwa Ulaya 2020/21 ni Tomas Tuchel wa Chelsea.
