Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Moses Phiri aifuata Yanga Dar
.
Msafara wa timu ya Zanaco wenye watu 30, akiwamo winga matata Moses Phiri unatua leo tayari kuwapa burudani mashabiki wa Yanga katika kilele cha tamasha la Siku ya Mwananchi linalofanyika kesho.
.
Phiri, mmoja ya wachezaji waliokuwa wakiwindwa na Yanga pamoja na wapinzani wao wa jadi, Simba, kabla ya dili lake kubuma, ni kati ya wachezaji 20 wa Zanaco wanaokuja na kikosi hicho kwa ajili ya mchezo wa kuhitimisha tamasha hilo la Yanga kwa kuvaana na wenyeji wao.
.
Hili pia ni kama pambano la kisasi baina ya timu hizo zitakazoshiriki Ligi ya Mabingwa Afrika kuwakilisha nchi zao. Zanaco imeitoa Yanga mara mbili katika michuano ya CAF mwaka 2006 na 2017.