Naona na huku Arusha nako tumekatiwaBaada ya kuzuka kwa moto katika jengo la kituo cha kupokea, kupoza na kusambaza umeme cha Msamvu mapema leo asubuhi na kusababisha kukatika kwa umeme Morogoro, Shirika la Umeme (TANESCO) Mkoa wa Morogoro limeomba radhi wateja wake na kusema Wataalamu wapo eneo la tukio kuhakikisha huduma inarejea kama kawaida
“Maeneo yanayoathirika kwa katizo la umeme ni Manisipaa ya Morogoro, Wilaya ya Mvumero, Kilosa, Mvuha pamoja na maeneo yanayotumia laini inayotoka Msamvu kituo cha kupoozea umeme”———TANESCO MorogoroView attachment 1877257
Hata dar huku nilipo hakuna umemeNaona na huku Arusha nako tumekatiwa
Ngoja tusubiri mafundi mitambo lohHata dar huku nilipo hakuna umeme
Naongea na SakayoEti unaongea na simu
Hiyoya dola 28 ni ujazo gani?Kampuni za kutengeneza chanjo ya COVID-19 za Pfizer na Moderna zimepandisha bei ya chanjo katika mikataba yake mipya ya mauzo na Umoja wa Ulaya ambapo Ripoti mpya iliyochapishwa na gazeti la Financial Times iliyotolewa leo Jumapili imenukuu sehemu ya makubaliano hayo ikisema bei mpya ya chanjo ya Pfizer imepanda hadi euro 19.50 (Tsh. 52,288) kutoka euro 15.50 za awali (Tsh. 41,280).
Gazeti hilo limeripoti kuwa dozi ya chanjo ya Mordena iliyokuwa ikiuzwa dola 25.50 (Tsh. 59,117) itauzwa dola 28.50 (Tsh. 66,078) kwenye makubaliano hayo mapya na hii ni kutokana na ongezeko la mahitaji ambapo baada ya bei hizi kupanda juhudi za shirika la habari la Reuters za kupata tamko kutoka kwa kampuni ya Pfizer na Moderna hazikufanikiwa. View attachment 1877265