KABUGHA
JF-Expert Member
- Aug 28, 2014
- 351
- 1,004
Inauma sana adui ukimuombea njaa halaf akapata mfadhiramna washapita tyar hawa yeboyebo siwapendiiiiiii vyura wakubwa hao
Inauma sana adui ukimuombea njaa halaf akapata mfadhiramna washapita tyar hawa yeboyebo siwapendiiiiiii vyura wakubwa hao
Karibu sana Mkuu.Hodi..Mimi dry face nikiwa na akili zangu timamu na bila kushinikizwa na mtu,natangaza RASMI kua Mimi ni KAPUKU.
Nipokeeni TAFADHALI.
KaribuHodi..Mimi dry face nikiwa na akili zangu timamu na bila kushinikizwa na mtu,natangaza RASMI kua Mimi ni KAPUKU.
Nipokeeni TAFADHALI.
Ziko poa kaka nimewamic humu aseeNjema mkuu.
Mishe vipi?
Inauma sana adui ukimuombea njaa halaf akapata mfadhir
mkuu umeona ninavyocheka kwa maumivu had machozi
Je unavigezo hivi;Hodi..Mimi dry face nikiwa na akili zangu timamu na bila kushinikizwa na mtu,natangaza RASMI kua Mimi ni KAPUKU.
Nipokeeni TAFADHALI.
Daaa zitarud tena zama zetu za kufurah ngoja nao wafurai na wao![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
mkuu umeona ninavyocheka kwa maumivu had machozi

Habari kijananguSalama kabisa shemeji.
Habari ya jioni.
Tumekupokea mkuu ila Kitufe chako cha like hakikisha kiko OK kama kinasumbua kirekebishe kwanzaHodi..Mimi dry face nikiwa na akili zangu timamu na bila kushinikizwa na mtu,natangaza RASMI kua Mimi ni KAPUKU.
Nipokeeni TAFADHALI.
Jioni yangu ni nzuri sanaaaSalama kabisa shemeji.
Habari ya jioni.
mbaya mkuu Vyura wameniharibia sikuHabar humu ndani
Ni poa mkuuHabar humu ndani
Karibu tena mkuu.Ziko poa kaka nimewamic humu asee
Shem langu mambo!Mie niko poaaaaaa
Niadje shem??Shem langu mambo!
Niko poa Mkuu.Habari kijanangu
Hapa ni mtakuja hata tupotee mwez tukirud jf tunaanzia humuKaribu tena mkuu.
Poa shem.Jioni yangu ni nzuri sanaaa
Daaa siku hizi sina furaha kama zamanimbaya mkuu Vyura wameniharibia siku