nikikumbuka kipindi kile cha 5 daaah ile Simba ilikuwa raha saaaaanaDaaa siku hizi sina furaha kama zamani
Kweli kabisa nahis uongoz wa rage na wengineo umetuharibia timu kabisa mpaka natamani akina dalali wapewe timu.nikikumbuka kipindi kile cha 5 daaah ile Simba ilikuwa raha saaaaana
walitakiwa waingie uwanjani wawakamate vyura
nikikumbuka kipindi kile cha 5 daaah ile Simba ilikuwa raha saaaaana
mbaya mkuu Vyura wameniharibia siku
hili tatzo lilianzia kwa Rage halafu ikaendelea kwa Aveva ile mambo ya Wambura na Simba UkawaKweli kabisa nahis uongoz wa rage na wengineo umetuharibia timu kabisa mpaka natamani akina dalali wapewe timu.
amna washapita tyar hawa yeboyebo siwapendiiiiiii vyura wakubwa hao
Hongereni ila naomba muishie hapo hapo mlikofikia tutawapongeza kama mashujaa wetu
lazima wafungwe hakuna namna
Hongereni ila naomba muishie hapo hapo mlikofikia tutawapongeza kama mashujaa wetu

Endelea kukumbuka tu. Sisi hao quarter final confederationnikikumbuka kipindi kile cha 5 daaah ile Simba ilikuwa raha saaaaana
Endelea kukumbuka tu. Sisi hao quarter final confederation
hapo ndio mwisho wenuNa wakivuka wamebahatisha sio![]()
![]()
![]()
![]()
hapo ndio mwisho wenu
Hongereni ila naomba muishie hapo hapo mlikofikia tutawapongeza kama mashujaa wetu
ewaaaaa na hawawez vukaNa wakivuka wamebahatisha sio
hili tatzo lilianzia kwa Rage halafu ikaendelea kwa Aveva ile mambo ya Wambura na Simba Ukawa