Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
walitakiwa waingie uwanjani wawakamate vyura
walitakiwa waingie uwanjani wawakamate vyura
Kabisa mkuuhili tatzo lilianzia kwa Rage halafu ikaendelea kwa Aveva ile mambo ya Wambura na Simba Ukawa
![]()
![]()
![]()
![]()
hapo ndio mwisho wenu
ewaaaaa na hawawez vuka
karibu sana Mkuu...jisikie upo nyumbaniHodi..Mimi dry face nikiwa na akili zangu timamu na bila kushinikizwa na mtu,natangaza RASMI kua Mimi ni KAPUKU.
Nipokeeni TAFADHALI.
Esperanca nao vimeo, wamekosaje penatiamna washapita tyar hawa yeboyebo siwapendiiiiiii vyura wakubwa hao
![]()
![]()
![]()
![]()
hapo ndio mwisho wenu
Sawa mkuu, ngoja nimkomalie atokeKaka muso hebu ondoa ile mtu inajiita boss paleee
Hata mi naona, karibuMie niko poaaaaaa
Kiongozi...Njema mkuu.
Mishe vipi?
Esperanca nao vimeo, wamekosaje penati
Aje bossKiongozi...
Hiyo ndio katiba yetuKaribu
Rule 1.Toa like upate like
Rule 2.don't forget rule no. 1..
Kila LA kher
Mkuu naona avatar zinabadilika day afta day...nini siri ya mafanikio?Je unavigezo hivi;
Upendo kwa wote?
Nidhamu je?
Dharau umeacha!
Karibu sana
Mie pia nilitaka kuulizaMkuu naona avatar zinabadilika day afta day...nini siri ya mafanikio?
Mkuu picha za Simba zimekujaje tena?
Mkuu picha za Simba zimekujaje tena?
yote tumeyataka SimbaMkuu picha za Simba zimekujaje tena?