Kipigo kwanza uzalendo badae
Nawatakia Vyura kichapo cha 4:0
Niko poa kaka.Braza mzima wewe?
yap, leo akishinda tena ndoo ya kwake moja kwa moja.Sevilla si amelibeba mara mbili mfululizo???
Si rahisi alibebe tena, c wanasema ukichua mara tatu mfululizo ndoo inakuwa yako?