Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
Labda nguo ya chini mbunge kaona anategwaMbona kavaa kiheshima tyuuh jaman lol.
Labda nguo ya chini mbunge kaona anategwaMbona kavaa kiheshima tyuuh jaman lol.
kweli kabisaa mkuu
huyu wamemuoneaa kiukweliMbunge wa Momba Condester Michael Sichalwe ametolewa ndani ya ukumbi wa Bunge ili akabadilishe mavazi yake baada ya Mbunge wa Nyangw'ale Hussein Nassor Amar kuomba muongozo wa Spika kuwa kuna baadhi ya Wabunge wamevaa mavazi yasiyo na maadili.
Spika Ndugai alimtaka Mbunge Hussein Nassor Amar kumtaja mmoja ambaye amemuona ndipo alipomtaja Mbunge wa Momba Condester Michael Sichalwe ambapo Spika alimtaka atoke ndani ya ukumbi wa Bunge ili akabadilishe mavazi yake.
Huyu mbunge alieomba muongozo kwa spika sio bwana smart kweli View attachment 1804592View attachment 1804593View attachment 1804594
amefanya vizuri kujionea yanayaoendeleaHizi ni picha za Rais Samia Suluhu leo baada ya kutembelea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Mwananyamala Dar es salaam kwa kushtukiza na kutoa zawadi ya mashuka 200 kwa ajili ya matumizi ya Wagonjwa huku akiwaahidi Wafanyakazi wa Hospitali hiyo kuwa zawadi nyingine ni yeye kwenda kuangalia maslahi yao.
View attachment 1804870View attachment 1804872View attachment 1804874View attachment 1804875
Ishawahi kukutokeakweli kabisaa mkuu
sana si ndo maana nakukumbuka aliyekuwa kipenzi wa mimiIshawahi kukutokea
Kwahiyo matendo ya sasa ya mpenzi wako wa sasa hayakufurahishisana si ndo maana nakukumbuka aliyekuwa kipenzi wa mimi
nilimuacha ndani ya wiki moja ... kila nikikumbuka mahaba yako mtoto mlitoooKwahiyo matendo ya sasa ya mpenzi wako wa sasa hayakufurahishi
Nenda nae taratibu tu mbadilishe atabadilika