PNC
JF-Expert Member
- Feb 3, 2015
- 8,105
- 14,356
mm ni buheri wa afyaHahah nipo ndugu, uko poa
mm ni buheri wa afyaHahah nipo ndugu, uko poa
Mishe zinaendeaje?mm ni buheri wa afya
ziko njema kabisa mkuuMishe zinaendeaje?
Nipo poaNipo kiongozi. Za siku mbili tatu
Ngoja tuone kama liver Leo atachukua Europa leagueziko njema kabisa mkuu
Maisha tu. Ila hiyo sukari guru mmmmhNipo poa
Sasa mbona umekuwa adimu km sukari guru
![]()
![]()
![]()
..........
Hapa KF kulijitokeza changamoto mbili tatu lkn hazikudumu ....tulizipotezea kizunguMishe zinaendeaje?
Muongo ww ....jana si ulikuwa unaendesha tumbo sababu ya kufakamia maparachichi yenye rangi ya Bashalonamm ni buheri wa afya
Alaa kumbe fainali leoNgoja tuone kama liver Leo atachukua Europa league
Poa kiongoziMaisha tu. Ila hiyo sukari guru mmmmh
Akina nani hao?Poa kiongozi
Watu walishamvizia mkeo
![]()
![]()
![]()
.........
Zipi hizo kiongozi?Hapa KF kulijitokeza changamoto mbili tatu lkn hazikudumu ....tulizipotezea kizungu
![]()
![]()
![]()
![]()
...........
Zishapita mkuuZipi hizo kiongozi?
Nitafatilia mwenyeweSiwataji ng'o
![]()
![]()
![]()
.........
Nitafatilia mwenyewe
Ndio leoAlaa kumbe fainali leo
hapa kwema mkuu na asubuhi ni njemakwema wakuu? za asubuhi