PNC
JF-Expert Member
- Feb 3, 2015
- 8,105
- 14,356
Muongo ww ....jana si ulikuwa unaendesha tumbo sababu ya kufakamia maparachichi yenye rangi ya Bashalona
![]()
![]()
![]()
.............

Mes que un Club
Muongo ww ....jana si ulikuwa unaendesha tumbo sababu ya kufakamia maparachichi yenye rangi ya Bashalona
![]()
![]()
![]()
.............

![]()
![]()
![]()
...........
ngoja ni translate

Mimi Team SevillaNgoja tuone kama liver Leo atachukua Europa league
Hahahaha mimi 50/50Mimi Team Sevilla
kwa hyo goli likifungwa upande wowote unashangiliaHahahaha mimi 50/50

![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Napita tuuu
unaelekea Arusha nasikia walisema wanagawa sukar bure ila had sasa cjajua ni mtaa ganiKumekucha salama.Jaman abar za asubuhi!!?
Hahaha ndo manakekwa hyo goli likifungwa upande wowote unashangilia![]()
![]()
![]()
ziko njema kabisaJaman abar za asubuhi!!?
Tatizo sevila hajafanya vizuri kwenye ligi![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Basi sawa
ni kawaida yake kutokushika top 4 hilo lisikuumize kichwaTatizo sevila hajafanya vizuri kwenye ligi

Ngoja tuone kama Leo ataperform vizuri maana anafungwa mpaka na timu ndogoni kawaida yake kutokushika top 4 hilo lisikuumize kichwa![]()
tena uchambuz unatia fora pale Fc Barcelona miamba ya dunia inapozungumzwaNaona uchambuzi wa soccer bado unaendelea
