PNC
JF-Expert Member
- Feb 3, 2015
- 8,105
- 14,356
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] liverfool hata yy performance yake imeshukaNgoja tuone kama Leo ataperform vizuri maana anafungwa mpaka na timu ndogo
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] liverfool hata yy performance yake imeshukaNgoja tuone kama Leo ataperform vizuri maana anafungwa mpaka na timu ndogo
Marhabaaaaa mjukuu wanguShikamooni wakubwa...wadogo chamoo!
Hahaha[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] unaelekea Arusha nasikia walisema wanagawa sukar bure ila had sasa cjajua ni mtaa gani
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] hata lindi kwenyewe ilikuwa ni maneno mengiHahaha
Asante kwa taarifa, nlikuwa sja skia, maana ile ya lindi nilienda
Safi mkuu, huko ulipo hawagi sukari!!?Kumekucha salama.
huku nilipo sukar buku 3 na wanauza kwa maringo[emoji1] [emoji1] [emoji1]Safi mkuu, huko ulipo hawagi sukari!!?
Safi, kwenye jukwaa la timu yetu kule umetuekea nini kipya!!?ziko njema kabisa
Nina katabia ka kuulizia jinsia...sijui kama ni tabia nzuri ila poa tu! Kajinsia kako please!Marhabaaaaa mjukuu wangu
Hahahahuku nilipo sukar buku 3 na wanauza kwa maringo[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Kwa kwel marhabaShikamooni wakubwa...wadogo chamoo!
AaahMorning family.....
Kurasa za mbele za magazeti mtazipata hivi punde tu