Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,105
HaijalishiMule hakuna tetes za usajil ni fact kwa kwenda mbele
HaijalishiMule hakuna tetes za usajil ni fact kwa kwenda mbele
Una 8k replies
Miaka yote hiyo halafu ww peke yako umechangia 10%
![]()
![]()
![]()
![]()
................
Panadol Na Cake 1 (PNC 1)![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Apo kuna nyingne mi ndo nimewafanya wachangie
Uwa ana andika alaf ana jijibu mwenyew sometymesPanadol Na Cake 1 (PNC 1)
Ndo mpiga kelele mkuu wa ile thread ya BASHALONA
![]()
![]()
![]()
...............
Uwa ana andika alaf ana jijibu mwenyew sometymes
Anahangaika kweli kule ndugu yetu huyu
Daaah
Yote kheri tuDaaah
Mwakan tutacheza jumapili na jumatatu hadi tukome
HahahaYote kheri tu
Hatuna timu UCL sio level yetu ....tungerudia madudu yaleyale TU ya Group Stage
Tujipange upya
..............
Ndo ivoHahaha
Kama had wale midjittuland walitupga kwao hlo group tunachomokea wap
Nawe pia mkuu wa kayaNdo ivo
Usiku mwema
................
Hata mimi pia,![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Apo kuna nyingne mi ndo nimewafanya wachangie
Hata mimi pia,
Hivi hili jina lako linatamkwaje mwenzetu???
Nawe pia jimenaHata mimi pia,
Hivi hili jina lako linatamkwaje mwenzetu???
Kwa kibongo bongo ndo unaeza itaHata mimi pia,
Hivi hili jina lako linatamkwaje mwenzetu???
Hongera kwa jina kali, asili yake wapi??![]()
![]()
![]()
Ilibid nkutumie audio
Ni unasema shtensne(i)
Ka i hako unaeza tamka kwa mbaal , u ukaishia na e