Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,077
- 464,004
‘Mtoto wa miujiza' Khadija
Mtoto huyu azaliwa mama yake akiwa amepoteza fahamu baada ya kuugua ugonjwa wa virusi vya corona wakati akiwa mjamzito.
-
Marriam Ahmad alipokuwa na ujauzito wa wiki 29 na hali yake ikabadilika kwa haraka sana. Hapo ndipo daktari wake alipoanza kusema kuwa afanyiwe upasuaji na mwanzo akawa ameonya kuwa kuna hatari Marriam akapoteza fahamu kipindi chote hicho.
-
Lakini pia aliambiwa kuwa mtoto wake anaweza akakosa nguvu ya kunusurika kifo.
Daktari wake alikuwa amesema "huenda asifanikiwe kurejea tena kuwa hai".
-
Lakini cha kushangaza ni kwamba licha ya onyo lilitolewa na daktari kufikia mchana siku iliyofuata, Marriam alikuwa ameamka yaani fahamu zake zimerudi.
"Sikujua nini hasa kimetokea" alisema. "Nilipoamka. Niliona sina chochote tumboni na nikawa mwenye maumivu mengi sana."
-
"Kwa mtazamo wangu, Khadija wangu alikuwa imara kweli. Hakuwa na matatizo yoyote licha ya kuzaliwa akiwa na wiki 29. Walikuwa wakiniambia kwamba atakuwa na kila aina ya matatizo. Lakini alikuwa mzima kabisa. Ilikuwa ni miujiza."

mtoto mlito