Makapuku Forum

Makapuku Forum

Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museven amempa zawadi ya gari (Mitsubishi Pajero) golikipa wa Mamelod Sundowns ya Afrika Kusini na Timu ya Taifa ya Uganda Dennis Onyango (36).

Onyango amepewa zawadi hiyo kwa heshima ya kuitumikia Timu ya Taifa ya Uganda kwa miaka 16 na hivi karibuni alitangaza kustaafu kuitumikia Uganda na sasa anabaki kuitumikia Mamelod Sundowns pekee.

Gari alilopewa Onyango na Rais Museveni linatajwa kuwa na thamani ya USD 52,490/= (Tsh Milioni 121.7).
20210507_170036.jpg
 
“Kuna jambo tumeona tulitolee ufafanuzi kuna clip inazunguka ikisema Rais Samia Suluhu ametoa agizo la kuachiwa huru kwa Wafungwa wa Kisiasa 23, sio kweli Rais hajazungumza suala hilo, pili Nchi yetu haina Wafungwa wa Kisiasa, Watanzania wapuuze taarifa hizo”———Gerson Msigwa Msemaji Mkuu wa Serikali akiwa Dar es salaam leo

“Hiki Chombo cha Habari cha Nchi jirani nisingependa kukitaja tunaamini wataomba radhi na kufuta taarifa hiyo, tayari Ofisi yetu ya Ubalozi Nairobi inafuatilia kujua kwanini wamepotosha”———Msigwa
20210507_170724.jpg
20210507_170842.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom