Makapuku Forum

Makapuku Forum

20210506_083840.jpg
20210506_083904.jpg
 
“Nimefikishiwa maoni mengi na Wadau mbalimbali kuhusu agizo la Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) kuhakiki kazi za muziki kabla hazijatoka na inaonekana BASATA wanaona ni njia ya kuboresha kazi na kulinda maadili”

“Wadau nao wana hoja kwamba huko ni kuleta urasimu usio na lazima, tutalimaliza hilo hivi ———> siku ya Jumamosi May 8 2021 Waziri wetu Innocent Bashungwa na mimi tutakaa kuwasikiliza BASATA na Wawakilishi wa Wasanii hoja kwa hoja kisha tutatoa uamuzi wa papo kwa hapo, hili limeisha” ——— Katibu Mkuu Wizaya ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dr. Hassan Abbasi
20210506_085703.jpg
 
“Nimefikishiwa maoni mengi na Wadau mbalimbali kuhusu agizo la Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) kuhakiki kazi za muziki kabla hazijatoka na inaonekana BASATA wanaona ni njia ya kuboresha kazi na kulinda maadili”

“Wadau nao wana hoja kwamba huko ni kuleta urasimu usio na lazima, tutalimaliza hilo hivi ———> siku ya Jumamosi May 8 2021 Waziri wetu Innocent Bashungwa na mimi tutakaa kuwasikiliza BASATA na Wawakilishi wa Wasanii hoja kwa hoja kisha tutatoa uamuzi wa papo kwa hapo, hili limeisha” ——— Katibu Mkuu Wizaya ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dr. Hassan Abbasi View attachment 1775004
hawa BASATA
 
Baraza Kuu la Waislamu wa Tanzania (BAKWATA) limewajulisha Waislamu na Wananchi wote kwa ujumla kuwa Sikukuu ya Eid El-Fitr itakuwa Alhamisi May 13,2021 au Ijumaa May 14, 2021 kutegemea kuandama kwa mwezi.

Sherehe za Eid El- fitr kitaifa kwa mwaka huu zitafanyika Mkoa wa Dar es salaam, swala ya Eid itaswaliwa katika viwanja vya Mnazi Mmoja kuanzia saa 1:30 asubuhi.
20210506_094226.jpg
 
Baraza kuu la Waislamu wa Tanzania (BAKWATA) linawajulisha Waislamu na wananchi wote kwa ujumla kuwa Baraza la Eid litafanyika katika viwanja vya Karimjee kuanzia saa 8:00 mchana, Mgeni Rasmi anategemewa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan.

BAKWATA imesema Sikukuu ya Eid El-Fitr itakuwa Alhamisi May 13,2021 au Ijumaa May 14,2021 kutegemea kuandama kwa mwezi, sherehe za Eid kitaifa zitafanyika DSM, swala ya Eid itaswaliwa viwanja vya Mnazi Mmoja kuanzia saa 1:30 asubuhi.

“Kwa niaba ya Baraza Kuu la Waislam wa Tanzania, Muft na Sheikh Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeir Bin Ally Mbwana anawatakia Waislamu na Wananchi wote Sikukuu njema na anawaomba kusherehekea kwa usalama na Amani”———-BAKWATA
20210506_094341.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom