Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
JE, WAJUA? CHARLIE CHAPLIN ALISHIKA NAFASI YA 3 KATIKA SHINDANO LA KUMPATA ANAYEFANANA NAYE
Mwaka 1975 liliandaliwa shindano la kumtafuta mtu anayefanana na Mchekeshaji maarufu Charlie Chaplin Katika hali ya kushangaza mchekeshaji huyo raia wa Uingereza alijitokeza kushiriki shindano hilo lililofanyika nchini Ufaransa kisirisiri
Alitegemea kuibuka mshindi na kuufurahisha umati wote uliohudhuria shindano hilo, Lakini matokeo ya shindano hilo yalipotolewa Charlie Chaplin alishika nafasi ya 3