Hahah nimekubari Shunie, cheusi mangala mwenye rangi yake, ile ya kung'ang'a na kuteleza[emoji1787] Nini sasa baba wawili jamani cheusi mangala mimi [emoji847] shunie mimi
[emoji1787][emoji1787] Hiyo hiyo baba wawili rangi adimu kama ya lupita nyongoHahah nimekubari Shunie, cheusi mangala mwenye rangi yake, ile ya kung'ang'a na kuteleza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] rangi adimu sana ile, ila una masihara sana [emoji16][emoji1787][emoji1787] Hiyo hiyo baba wawili rangi adimu kama ya lupita nyongo
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] rangi adimu sana ile, ila una masihara sana [emoji16]
Sawa tu wewe kereka kwa maneno ya kweli... 😅Hivi ujue unanikera unavyoniita pisi kali
Maneno ya kweli wapi bwana na upisi kali gani mimiSawa tu wewe kereka kwa maneno ya kweli... [emoji28]
Basi njoo unisema karibu usisemee mbali...Maneno ya kweli wapi bwana na upisi kali gani mimi
Hahahahaha sitaki najua kitakachotokea acha nikuseme hivi hivi kwa mbali napata nguvu sana ya kukusemaBasi njoo unisema karibu usisemee mbali...
Hakuna kitakachotekea...Hahahahaha sitaki najua kitakachotokea acha nikuseme hivi hivi kwa mbali napata nguvu sana ya kukusema
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hakuna kitakachotekea...
i'm a good guy...
Njoo unifokee karibu...
Basi naomba unisindikize...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ningekuwa sikujui sawa ila nakujua vizuri tu sijiii nakufokea hivihivi kwa mbali
Kukusindikiza sina tatizo nakusindikiza vizuri tu [emoji847]Basi naomba unisindikize...
🤗🤗Kukusindikiza sina tatizo nakusindikiza vizuri tu [emoji847]